El-Sheshtwi ni mwenyekiti wa kamati ya huduma za mambo yanayohusu uratibu wa michuano ya ulimwengu kwa mpira wa mikono
- 2020-08-25 12:09:25
Kamati iandaayo kwa michuano ya ulimwengu kwa mpira wa mikono mwaka wa 2021 ambayo Misri inaikarbisha mnamo mwezi wa Januari ujao,
iliamua kuchagua Mamdouh El-Sheshtwi, mkurgunzi mtendaji kwa kamati ya kiolompiki ya kimisri atakuwa mwenyekiti wa kamati ya huduma za mambo yanayohusu uratibu wa michuano,kiasi kwamba jukumu la Elsheshtwi na kamati yake linajumuisha kutoa msaada wa mambo yanayohusu uratibu wa kamati ndogo na kamati iandaayo kwa michuano ,kwa ajili ya kusuluhisha matatizo yoyote yanayoweza kukabili kuandaliwa kombe la dunia ya mpira wa mikono .
Hesham Nasr, mwenyekiti wa shirkisho la mpira wa mikono amesistza imeamuliwa kufanya kamati ya kimatibabu katika shirkisho pamoja na kamati ya kiolompiki na wizara ya vijana na michezo ili kutoa protokoli kali ya kimatibabu inahifadhi hazina ya kitaifa kwa Misri ,nayo ni wachezaji wa timu ya mpira wa mikono ,kabla ya kuzindua kombe la dunia nchini Misri katika mwezi wa Januari ujao ,na katika simu kwa mpango wa mwanafalsafa Ayman Youns kupitia idhaa ya On Sport Nasr alisema "tulikarbia kumaliza kujenga viwanja vipya vitati ,uwanja wa kwanza katika mji wa kiidara na unajumuisha mashabiki 7500 na imeshafanyawa kwa 95% na pili ni uwanja wa 6 Oktoba na unajumuisha mashabiki 5300 na umetimiza kwa 75% na tatu ni uwanja wa Borg Elarab unjumuisha mashabiki 4000 na kiwango cha kuumalizia kinakarbia kiwango chochote cha uwanja wa 6 Oktoba" .
Hesham Nasr aliongeza "kumbi zote zinajumuisha viwanja vya kuzoeza ,na itakuwa hazina kwa Misri katika michezo yote mingine mnamomiaka ijayo ,Misri inapamban na isiyowezekana ili kushinda hali na kurudi tena kwenye jukwaa la matokeo ya dunia kwa kuandaa kombe la dunia linafuata matokeo ya dunia".
Mwenyekiti wa shirkisho la mpira wa mikono aliendelea ,"sisi tunashinda na na wakati kwa kukarbisha timu 32 kwa mara ya kwanza katika historia ya kombe la dunia , Bingwa Hussen Labeb alitutolewa jukumu la mkurgunzi wa michuano ya kombe la dunia ,na tunawasiliana na njia za usafiri kupitia mipango ya tarakilishi kwa kupatikana mfumo rahisi ,chini ya usimamizi wa Dokta Ashraf Sobhy, waziri wa vijana na michezo kwa sababu sekta zote za nchi zinataka kuandaa michuano inayofaa jina la Misri" .
Hesham Nasr aliongeza "kwa bahati njema kuwepo kwa Dokta Hassan Mustafa, mwenyekiti wa shirikisho la kitaifa kwa mikono mkoani Kairo wakati wa uamuzi wa kuahirisha safari za ndege,kiasi kwamba anafuata binafsi kila kitu na anauliza kuhusu maelezo yote na anatembea makao makuu yote kwa kwani anataka michuano ya mafanikio kwa nchi yake Misri na shirkisho la kitaifa pia mnamo enzi yako".
Comments