Misri yapokea matukio 30 ya michezo mnamo 2021

Dokta Ashraf Sobhy alitoa hotuba ambapo alianza na mielekeo ya kiuchumi kwa Wizara ya Vijana na Michezo,

 ambayo ni pamoja na kusimamia upya mali na usimamizi wa uwekezaji ili kufikia mapato ya kuongeza rasilimali za binafsi na kutengeneza zana za kufadhili ubunifu na njia na usimamizi wa kiuchumi kutoa gharama za kazi na kufikia ufanisi  katika matumizi na kushirikiana na sekta binafsi kuwekeza katika vituo vya vijana na michezo kupitia  Kutoa mfululizo wa vilabu vya kimichezo vya kiwango cha juu cha kijamii kwa bei nzuri katika sehemu tofauti za Jamhuri na kuandaliwa viwanja vya kitaalam na vilivyojumuishwa katika mikoa ya Jamhuri na kuifanya iwepo kwa matumizi ya jamii na uanzishaji wa vituo vya kukuza vijana na michezo kulingana na mtindo mpya na  kisasa kama vituo vya huduma vya juu vya jamii na kielelezo bora cha kiwango cha juu cha vituo vya vijana ambavyo vinakidhi mahitaji ya vikundi vya jamii tofauti.  Kubadilisha vituo vya vijana kuwa vituo vya huduma kwa jamii mbali na shughuli za vijana zenye kusudi na kutoa sababu za mazoezi na kuvutia familia.


Aliashiria  miundombinu ya kisasa ya vijana na vifaa vya michezo, wakati ambapo ina  vilabu vya michezo (1248),  vituo vya vijana(4430),  viwanja vya michezo(25),  kumbi zilizofunikwa(115),  viwanja vya mpira(640),  mabwawa ya kuogelea(209), vilabu vya kibinafsi(23),  kumbi za michezo(18),  hoteli za michezo na hosteli(13), vituo vya kukuza michezo(8), vitengo vya dawa za michezo(17), nyanja  wazi za michezo (3354),  miji ya vijana(10),  vikao vya vijana(7),  vituo vya elimu ya kiraia(10).


Alionesha utendaji wa kiuchumi na kifedha katika sekta za vijana na michezo kama kichocheo cha ukuaji wa kiuchumi, ambapo uwekezaji wa moja kwa moja wa serikali ulifikia paundi za kimisri bilioni tisa, milioni mia mbili na sitini na tisa na uwekezaji wa sekta binafsi ulifikia milioni 17, laki moja , elfu 32 na jumla ya uwekezaji ulioelekezwa kwa sekta ya vijana na michezo.


Bilioni ishirini na sita milioni mia nne na mbili, na akaashiria hafla kubwa za michezo na hafla kubwa iliyoshikiliwa na Jamuhuri ya Kiarabu ya Misri katika kipindi kijacho (Mashindano ya Mpira wa Mikono Duniani 2021 - Mashindano ya Dunia ya Sarakasi 2021 - Kombe la Mwaka wa Kijeshi kwa Soka  2021 _ Mashindano ya Dunia ya Silaha kwa Wazee 2021 _ Kombe la Dunia la Silaha kwa vijana 2021_ Kombe la mpira wa Mikono Duniani 2024 _ Kombe la Dunia la Skwashi kwa Vyuo vikuu 2022), kwa idadi ya jumla ya michuano 30.


Alionesha miradi ya miundombinu na majengo  yanayowakilishwa katika viwanja vilivyoshikilia Kombe la Mataifa ya Afrika Misri 2019 (Uwanja wa Kairo _ Uwanja wa Aleskandaria _ Uwanja wa Suez _ Uwanja wa Ulinzi wa Hewa _ Uwanja wa Ismailia _ Uwanja wa Amani) kwa gharama ya uwekezaji (paundi bilioni 1,4), na mradi wa kitaifa wa kukuza viwanja vya michezo pamoja na gharama ya ujenzi inayokadiriwa kuwa paundi bilioni 2.32, Mradi wa Kitaifa wa maendeleo ya viwanja vya michezo na vifaa vya michezo kwa Kombe la Dunia (27) kwa mpira wa mikono kwa wanaume utakaofanyika katika Jamhuri ya Kiarabu ya Misri mnamo Januari 2021, na kumbi zilizokuwa zikishikilia Kombe la Mpira wa Mikono Duniani kwa Misri 2021 (Ukumbi wa mji mkuu wa idara, ukumbi wa Burj Al Arab, ukumbi wa Uwanja wa Kairo, na  ukumbi wa  Oktoba sita  (yenye jumla ya viti (34,700), na gharama ya jumla ya uwekezaji (3,533) paundi bilioni, na barabara kuu kwa gharama ya uwekezaji  paundi (275,133,000), na mradi wa ujenzi wa viwanja vya El Khomasi  na kisheria, ambapo (viwanja wa michezo 3,432) vilitekelezwa kwa jumla gharama ya uwekezaji (bilioni 2,400), mradi wa mji wa kimichezo katika mji mkuu mpya wa utawala, na mradi wa kilabu (kilabu ), ambao ni mfululizo wa vilabu vipya vya michezo na usimamizi wa wataalamu wa  Sekta ya kibinafsi Klabu inakusanya shughuli zote za michezo, kijamii na kitamaduni, ambayo itafungua matawi mengi mfululizo, na tawi la kwanza litakuwa katika jiji la 6 Oktoba kwenye ukubwa wa mita mraba (79900).


Alizungumzia juhudi za Wizara ya Vijana na Michezo katika kuanzisha kampuni maalumu kama kichocheo kwa sekta za vijana na michezo,  inayojumuisha Kampuni ya Misri kwa utengenezaji wa vifaa vya michezo na zana  zinazolenga kuunda chombo kikubwa cha viwanda kutengeneza na kukidhi mahitaji ya bidhaa za michezo na mahitaji kama vile nyasi bandia na zana mbali mbali za michezo kwa soko la Misri, Kiarabu na Kiafrika, na Kampuni ya Miji ya Michezo.  Ambayo ni kampuni ya pamoja ya hisa ya kimisri kwa ajili ya usimamizi na uendeshaji wa vifaa vya vijana na michezo na inafanya kazi kutoa huduma tofauti katika sekta ya vijana na michezo, pamoja na kusimamia, kufanya kazi, kutunza na kuuza vifaa vya michezo na kutoa usalama, uangalizi, kusafisha na huduma za kiufundi kwa uanzishwaji na operesheni ya taaluma za michezo na upandaji wa viwanja kwa lengo la kuongeza ufanisi wa usimamizi wa mali na usimamizi wa wataalamu wa vifaa, na mradi wa  kuanzisha mji wa michezo ya vijana huko Asmarat kwa kushirikiana na Mfuko wa Misri idumu, ambao una (uwanja mkubwa wa mpira wa miguu,  viwanja vya mpira vya miguu vya Khomasi (4) ,  viwanja vya mpira wa kikapu(3), viwanja viwili vya matumizi tofauti , na eneo la uwanja wa michezo  kwa ukubwa wa mita mraba 2100, jukwaa wazi la michezo kwa ukubwa wa mita mraba 670 , eneo la kucheza la watoto, mgahawa wa watoto kwenye ukubwa wa  mita mraba 290, na uwanja wa bafuni  Kuogelea, maduka na eneo la benki kwenye ukubwa wa mita mraba 946, na jengo la kijamii kwenye ukubwa wa mita mraba 1600 ) ili kuondoa changamoto ya makazi duni kwa kujenga miji ya makazi na kusafirisha wakazi wa maeneo yasiyo rasmi kwa makazi salama ndani ya maeneo yaliyopangwa na ndani ya mfumo wa Mtazamo wa Misri 2020, ulioanza tarehe 10/29 / 2018 Ilikamilishwa mnamo Juni 2020 kwa gharama ya paundi  (230,767,866)  na jumla ya ukubwa wa mita mraba 48,000.


Akizungumzia akieleza Mradi wa maendeleo ya viwanja wazi katika kitongoji cha Al-Asmarat na kuvibadilisha kuwa Kituo cha Vijana wa Asmara, kama mji wa Asmarat una  viwanja tisa  vya michezo vilivyosambazwa  maeneo matatu jijini, na unajumuisha viwanja viwili  vya akriliki,  viwanja vinne vya Khomasi, viwanja vitatu vya kisheria , Ambapo viwanja vilibuniwa na gharama ya jumla ya paundi (3,238,350), na zilibadilishwa kuwa kituo cha vijana, na bado kuna maendeleo kwa kuunda dimbwi la kuogelea.

Comments