Kamati ya juu kwa kombe la mikono 2021 yashindana na wakati ili kutimiza shughuli zake
- 2020-08-25 12:16:26
Waziri wa michezo : Wote wanashirkiana ili kutolewa toleo bora zaidi katika historia ya mchezo.
Kamati ya juu kwa michuano ya dunia kwa mpira wa mikono inaendelea mikutano yake kwa mahudhurio ya waziri wa vijana na michezo Dokta Ashraf Sobhy na viongozi wa wizara na hii ili kusimamia maandalizi haya kwa kumbi za mji mpya wa kiidara ambazo zinapanuliwa ili kuchukua watazamaji elfu tano na ukumbi wa 6 ya Oktoba ambao nyanja zake za michezo zinapanuliwa kwa uwanja mkuu kwa watazamaji 4500 pamoja na maandalizi na vitu vipya ambalo shirkisho la kimtaifa kwa mpira wa mikono limeomba juu ya kumbi mbili za uwanja mkuu wa Kairo zinazochukua watazamaji elfu 18 pamoja na ukumbi wa borg al_arab mkoani Aleskandaria na gharama ya ujenzi inafikia mpaka sasa kiasi poundi za kimisri bilioni 4 .
Waziri wa vijana na Michezo Dokta Ashraf Sobhy alitangaza kuwa anafuatilia kazi ya kamati ya juu kwa michuano kwa uongozi wa Mhandisi Hesham Nasr mwenyekiti wa shirkisho la mikono na Mhandisi Hussen Labeb mkurgunzi wa michuano ya dunia akieleza kuwa wote wanashindana wakati kwa ajili ya kumaliza kutoka kumbi mpya zote na kufanya upya sakafu ya ukumbi wa uwanja wa Kairo kwa mujibu kwa maelezo mapya zaidi ya kimtaifa kwa mchezo .
Sobhy alieleza kuwa wizara inaondoa vikwazo vyote ambavyo vinapambana na kazi za kamati tofauti kwa kamati inayoandaliwa inayoonesha daima kazi yake lakini haiingilii katika kazi yake akiashiria kwa ushirkiano wa watu ili kutolewa toleo bora zaidi kwa michuano ya ulimwemgu kwa wanaume wa mpira wa mikono nchini Misri inayokarbisha michuano kwa ushiriki wa nchi 32 kwa mara ya kwanza baada ye idadi ya nchi zinazoshiriki ilikuwa nchi 24 tu katika kila ubingwa .
Waziri wa vijana na michezo alisifu juhudi za Dokta Hassan Mustafa mwenyekiti wa shirkisho la kimtaifa kwa mpira wa mikono na uhamsishaji wake kwa kufanikisha michuano ambao umeshautolewa kwa Misri baada ya kufanyika michuano uliopita katika nchi mbili za Ujermani na Eldenmark .
Sobhy alimaliza maelezo yake akieleza kuwa kufikia timu ya kitaifa kwa zamu za fainali na watu wakubwa zaidi ulimwenguni katika mchezo itasaidia mafanikio ya michuano ambao Misri itaitolewa kwa dunia katika sura nzuri zaidi inafaa kwa nafasi ya Misri kupitia historia kama ilivyotokea na tulifanikia katika maanadilizi ya michuano ya nchi za kiafrika kwa mpira wa miguu kwa mwaka uliopita katika wakati mfupi na idadi ya watazamji katika sherehe ya ufunguzi ilifikia watazamaji bilioni 2 .
Imetajwa kuwa idadi ya watazamaji wa michuano ya dunia kwa wanaume wa mpira wa mikono iliyofanyikwa nchini Ujermani na Denmark imefikia watazamji bilioni na milioni mia sita ulimwenguni kwa mujibu wa yaliyotangazwa na mwenyekiti wa shirkisho la kimtaifa kwa mpira wa mikono katika magezeti ya Ulaya .
Comments