Waziri mkuu afuata maandalizi ya Misri kwa michuano ya kombe la dunia kwa mpira wa mikono 2021
- 2020-08-25 12:24:37
Dokta Mustafa Madbouly , Waziri mkuu alifanya mkutano leo ,ili kufuata maandalizi hasa kwa kukarbisha Misri kwa michuano namba 27 kwa kombe la dunia kwa mpira wa mikono kwa wanaume (Misri 2021 ),
kwa mahudhurio ya Dokta Hala Elsaed , Waziri wa Upangaji na Maendeleo ya kiuchumi ,Dokta Mohamed Maeat , Waziri wa Fedha ,na Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo .
Wakati wa mkutano, Waziri wa vijana na michezo alionesha hali ya kiutendaji kwa kumbi za kufanikiwa zinazokarbisha kwa matukio ya michuano , inayojumuisha mambo yaliyomaliza kama kumbi mpya ,au zile zitakazopata ufanisi zaidi , akiashiria kuwa kiwango cha kufanya kazi kinaongeza ,katika mambo yanayohusiana kumbi zilizofanikiwa katika mji mpya wa kiidara ,6 oktoba , Burj Alarab na uwanja wa Kairo na imepangwa kuwa kukarbisha matukio ya michuano ,pia itamaliza katika nyakati maalumu ,pia Waziri alionesha hali maalumu inayohusiana kumbi za mafunzo zilizoshachaguliwa ili kukarbisha timu kupitia mafunzo .
Waziri alitoa maonesho kwa maandalizi na matukio tofauti imeamuliwa kuzifanya kabla na kupitia michuano ,na mahitaji ya kifedha ili kumaliza matukio haya katika sura nzuri zaidi, inayofaa nafasi ya Misri .
Mwishowe, Waziri mkuu alisema kuwa kwa kutosheleza fedha ili kufadhili bajeti ili kufanya matukio ya michuano ya kombe la dunia kwa mpira wa mikono kwa wanaume (Misri 2021) ,hii kwa uratibu kati ya mawaziri ya Upangaji Fedha, vijana na michezo na mashirika yanayotekekeza ,akisistiza umuhimu wa kutoa michuano kwa sura inayofaa kwa Misri ,na linaloakisi ustaarabu wake na uwezo wake wa kukaribisha matukio ya kimchezo ya Dunia kama hayo .
Comments