Waziri wa michezo akutana na kamati ya matibabu ya mashindano ya dunia ya mpira wa mikono
- 2020-09-14 10:54:11
Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo alikutana na maafisa wa kamati ya matibabu ya mashindano ya dunia ya mpira wa mikono siku ya jumanne
katika ofisi yake kwenye Wizara, ili kujadili hatua na taratibu za tahadhari zitakazokubaliwa na kuzingatiwa ili kuzuia mlipuko wa virusi vipya vya Corona kupitia mashindano ya dunia ya mpira wa mikono itakayokaribishwa na Misri Januari ijayo kupitia Kipimo cha joto la mwili , kuvaa barakoa , kuepuka mkusanyiko ,
Kuwepo nafasi kubwa baina ya watu na kutumia utakaso wa mikono pamoja na kuwepo hatua za kushughulikia na Kesi wanaoambukizwa na virusi ambpo inawezekana kujitokeza wakati wa mashindano ya dunia.
Waziri wa vijana na michezo alitafutia hatua za kuzuia zitakazokubaliwa na kuzingatiwa
na kamati iandaayo na ya matibabu katika sherehe za mashindano ya dunia ya mpira wa mikono yatakayofanika tarehe 5 , Septemba ijayo katika eneo la Piramidi ili kuhifadhi Usalama na afya za wageni .
Na Dokta Ashraf Sobhy alisisitiza kuzingatia maelezo yote yanayohusu mashindano ya dunia ya mpira wa mikono kwa wanaume na, juu ya hayo yote inakuja Utunzaji mkubwa wa
Upande wa kiafya kwa wachezaji na vifaa vya kiufundi , vya idara na ujumbe unaoambatana na kuchukua tahadhari zote katika hali hizi za janga la Corona.
Na waziri aliamuru wahusika katika kamati iandaayo kwa kufuata upimaji mara kwa mara Pamoja na kamati ya matibabu katika shirikisho ili kutekeleza hatua za tahadhari Uhalisini ili kujiandaa mashindano , akiashiria Kwa muungano wa wote ili kuhakikisha mafanikio katika mashindano na kuyapanga katika viwango bora zaidi.
Meneja wa mashindano Hussen labib na naibu yake Tarek El dib , Dokta Hazem khamis, Rais wa kamati ya matibabu ya juu , Dokta Ahmed El sheikh, mkuu wa kamati ya mawasiliano ya serikali katika kamati iandaayo, na Maemn Safa Mweka Hazina wa shirikisho la mpira wa mikono walihudhuria mkutano kutoka kamati iandaayo kwa mashindano ya dunia ya mpira wa mikono.
Comments